Wednesday, August 1, 2012

Ujio mpya wa Get Out ya Stive na Shemsa Ford

Mwigizaji Stive Nyerere kutoka kampuni ya Nyerere The Power anasema kwa sasa anakamilisha filamu yake ya Get Out, baada ya kukamilisha ile ya Long Time. Aidha amesema filamu hii imejaa kila aina vituko ambavyo watu wengin walikuwa wakivitamani kutoka kwake. Aidha alisema katika filamu hiyo pia yupo mwanadada Mainda pamoja na Shemsa Ford









Faridi Uwezo, kamera Man ambaye kwa sasa anafanya vizuri sana kwenye tasnia hii.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi