Wednesday, August 1, 2012

Diamond atoka hospitalini

Kile kifaa ambacho kinaongoza kwa kupiga Show usiku na Mchana Diamond Plutnum jana alilazwa mara moja baada ya Afya yake kuonekana inayumba kutokana na uchovu unaomkabili kila siku na kukosa hata muda wa kumpumzika. Rafiki wa Mwanamuziki huyo Ommy Dimpoz amesema, rafiki yake alilazwa kwa mara moja lakini alitolewa siku hiyo hiyo na sasa yupo fiti,na anaendelea na kazi zake kama ilivyokuwa zamani.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi