Wednesday, August 1, 2012

The Mwanaharisi gazeti limeclosediwa kwa muda usiojulikana

Ingawa hii ni blog maalum kwaajili ya jamii ambayo siku zote imehitaji kupata burudani, baada ya kusumbuliwa akili yao na kazi na mambo mengine ya kijamii. Hapa nakutoa takataka zote kwa kukupa burudani ya kujua msanii gani anafanya nini, na yupo wapi kwa sasa lakini hili la MWNAHARISI, nimeona si vibaya kama nitawajulisha kama LIMECLOSEDIWA na Govermen kwa muda usio julikana.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi