Usaili unaoendelea Coco Beach Dar-es-Salaam, vitu muhimu vya kukumbuka mchana huu ni
kuwa idadi ya watu waliojitokeza hapa Coco Beach ni kubwa mno. Kuna
mistari mirefu sana ya washiriki wanaosubiri zamu zao mbele ya majaji.
Pia kuna shughuli za uchangiaji damu zinaendelea hapa Coco beach na
muamko wa washiriki umekuwa mzuri.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi