Wednesday, August 15, 2012

TBL watoa futari kwa Bongo Movie na wadau wake


  
Kampuni ya TBL inayozalisha kinywaji cha Gland Malt, jana imefutarisha wasanii wa Bongo Movie na wadau mbalimbali wa kinywaji hicho kwa lengo la kujumuika pamoja. Pia walitaka wadau mbalimbali kujumuika pamoja katika kuunga mkono  kinywaji hicho ambacho hakina kilevi. Pia wasanii nao walipata fulsa ya kuongea kwaajili ya kubadilishana mawazo na watu ambao walikuja eneo hilo
 
Aunt Ezikiel naye alikuwa pamoja na wadu wakipata futari, hivi sasa yupo kwenye mfungo mtukufu wa ramadhani baada ya kutangaza kusilim hivi karibu na kutimiza swaumu yake vile inavyohitajika.
Cloud 112 naye alikuwa akipata futari
Stori kidogo, si unajua tena mnapokutana wengi.
Hostadhi Hatman Mbilinyi naye kipata futari
Hata akiwa na Hostadhi Jacob Stephan maarufu kama Jb, ushehe raha.
Acha weeee!!!
Hostadhi George Kavishe meneja masoko wa bia ya Kilimanjaro, naye alipata futari kidogo
Tende pembeni, kuku na kinywaji cha Gland Malt.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi