Wednesday, August 15, 2012

Chidi ajitangazia uhuru Jerusalem

Producer aliyekuwa akizalisha filamu nzuri kutoka kampuni ya Jacob Stephan 'Jb' Chid amesema kwa sasa anajitegemea na wala hafanyi kazi na kampuni hiyo. Amewaomba wadau wote wa tasnia ya filamu ambao wamekuwa wakifanya kazi na huenda wakawa wanamuogopa kwa kujua kwamba yupo chini ya kampuni fulani, anasema sasa hivi yupo huru na anataingaza rasmi kampuni yake ya Classic Production, na atakuwa akidilina filamu zote na kazi zote zinazohusiana na Production.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi