| Mwigizaji mahiri wa filamu nchini Shemsa Ford, akiwa na mwanaye na mtoto wake ambaye alimzaa hivi karibuni na kujitahidi kujizuia ili asije kupigwa picha na kusambazwa katika magazeti yenye Utata. Hata hivyo mwigizaji huyo, ameendelea kuonyesha uwezo wake katika ujio wa filamu mpya ya Mwalimu Nyerere inayokwenda kwa jina la Get Out |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi