Yaliyojiri katika siku ya pili ya usaili
wa Zantel Epiq Bong Star Search uliofanyika katika ukumbi wa La Casa
Chika jijini Tanga. Majaji wameonekama kufurahishwa na vipaji na kuamua
kuchukua watu sita badala ya watano ambao wataenda Dar es salaam
kuiwakilisha Tanga. Zaidi ya washiriki 800 walijitokeza katika usaili wa
mjini Tanga. Usaili utaendelea tena tarehe 1 mwezi Agosti katika eneo
la Coco Beach Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi