Nyota wa muziki kutoka pande za State Marekani amesema, katika moja wa mndao wa kijamii, kwamba "Kama JAH (Akimaanisha Mungu) atakuwa amesimama upande wake, kwanini niwe na hofu ya kuogopa wadudu wanaoruka na kutambaa wakati wa usiku" maneno ambayo yanatafsiriwa na wadau kwamba ni ya Kifreemason, kwakuwa yameonyesha wazi bado hana imani na mungu wake, kwahiyo hawezi kumlinda kutokana na watu au chochote kinachoweza kutokea wakati wa usiku (Usiku wakiashiria ni utawala wa kishetani).

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi