Mwanamuziki ambaye mara nyingi amekuwa akiimba nyimbo zake kulingana na yeye mwenyewe anavyoamka. Juzi kwenye kipindi kimoja cha Tv alihojiwa kuhusiana na kipande cha wimbo wake mmoja wa Nasema nao kinachosema 'Malaya wenye kiwango, wote wapo Bongo Movie' ameendelea kung'ang'ania msemo wake huo, na kusema kama akiamka tena na akili kama hizo, basi atawataja kwenye wimbo wake mpya atakao kuja nao kipindi chochote. Pia mwanamuziki huyo, amesifu vizuri kwamba yeye ni rafiki wa sheteani ambaye anajulikana zaidi kama Lucifer. na hii ndiyo video ambayo inazidi kuleta utata kwa Bongo Movie, anayotambulisha kwamba yeye ni rafiki wa Lucifer

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi