Friday, August 10, 2012

New Video ya G Nako, ni funga kazi

Mwanamuziki G Nako, atoka na Ay na Artst kutoka Marekani kwenye wimbo wake mpya, no moja ya nyimbo ambayo kwa sasa naweza kusema ni funika bovu kuanzia video, Audio pamoja na mashairi. Kazi njema , naona tumaini ya nyimbo zetu kukuwa.

 


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi