| Linah alizidi kuchonga kwamba hata kama akiolewa lakini hayupo tayari kwenda kuishi nchini Marekani, kwakuwa anaipenda Tanzania yake, na yupo radhi kwenda kila baada ya muda fulani nchini huko kwaajili ya kumfuata mmewe ambaye mfanya kazi na kisha kurudi. Pia lina alidai kwamba ingawa alikuwa nchini Marekani takribani miezi mitatu, katika Tour ya Tumaini lakini hakuweza kumtafuta mpenzi wake huyo na wala hakuonana naye mpaka anarud kutokana na umbali wa miji aliofika yeye wa Dc Washngton na anapoishi mpenzi wake Atranta. Mwisho alimalizia kwa kusema hivi sasa anapoongea tayari gari lake limeshafika, anasuburi kumalizia harakati fupi aliingizeKitaaa |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi