Hii
BONGO UNIT ambayo inaendelea kukujuza juu, yaliojiri leo katika siku ya tatu ya usaili kwa
mkoa wa Da-es-Salaam. Majaji wamewaona zaidi ya washiriki 4000 kwa mkoa
wa Dar-es-Salaam pekee. Leo majaji wamewaona washiriki wapya na wale
waliokuja kufanya usaili round ya pili ili wachujwe kupata wawakilishi
wa Dar. Majaji wamewapata washiriki watakao iwakilisha Dar kwenye 50
bora ya Epiq BSS mwaka huu. Pia majaji wametamka kuwa kundi la washiriki
walokuja kwenye usaili Dar-es-Salaam ni kubwa kushinda miaka yote
iliyopita. Shughuli ya uchangiaji wa damu umeendelea vizuri.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi