Thursday, August 2, 2012

EBSS ni nomaaaaaaaa

Usaili wa Epiq BSS Dar-es-Salaam ambao umefanyika Coco Beach.  Idadi ya washiriki waliotokea kwenye usaili hapa Coco Beach ni mkubwa mno, ili bidi baadhi yao waombwe kuja kesho kwa kuwa isingewezekana majaji kuwaona washiriki wote waliofika leo. Mpaka saa moja jioni bado kulikuwa na zaidi ya washiriki 200 wanasubiri kuwaona majaji. Shughuli ya uchangiaji damu pia umeenda vizuri na washiriki wamejitokea kuchangia damu.









No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi