Clinton acheza kwaito afrika kusini 'bado kiduku
Baada ya kuarikwa kwenye chakula cha jioni, na waziri wa mambo ya nje wa Afrika Kusini nchini Afrika Kusini Maite Nkoana-Mashabane, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton, aliamua kulimwaga rhumba la kwaito baada ya kuvutiwa na miziki ya Afrika. Hebu angali video hii, ilivutia zaidi,
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi