Tuesday, July 10, 2012

Ujio wa kanumba ndani ya Neno la Mwisho

Ili kutokuweka mbali na filamu zijazo, nitakuwa nakuletea filamu zinazoingia sokoni hivi karibuni. Pia nitakuwa nakuonjesha kidogo, ili upate hamu ya kwenda madukani haraka kwaajili ya kununua filamu hiyo. Na kikubwa zaidi, KUMBUKA KUNUNUA FILAMU OROGINAL kwaajili ya manufaa ya Wasanii na mapato ya Nchi yetu. Kuwa Mzalendo kwa kununua filamu Harisi. Hasante.....


Hebu pata kwanza Promo ya Naenda kwa mwanangu ya King Majuto na Jb




No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi