|
Nyota wa muziki wa Dansi nchini pia ni mmiliki wa
Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’
Alichoki kwa sasa anasema malengo yake
ni kuanzisha kampuni itakayoshughulikia masuala ya filamu, baada ya kuona
muziki ameushika vizuri. Choki ambaye kwa mara ya kwanza filamu hiyo ilipaswa
kuigizwa Juni 30, Mombasa nchini Kenya, lakini kutokana na kutingwa kwa kazi mbili moja ikiwa kufungua
Bar yake na yapili ni uigizaji wa filamu hiyo ambayo bado hajaanza kuitangaza
rasmi. Anasema Ingawa kwa sasa analisaidia kundi la Choki
Arts Group, ambayo tayari imeshakamilisha filamu ya kwanza ambayo amewashirikisha Patcho
Mwamba, Dude na Rehema Fabian na wakali wengine. Ila pia anamikakati ya kuanzisha kampuni hiyo ya filamu ambayo pia
atahita kwa jina hilohilola Choki, akiwa
na lengo la kuinua vipaji vipya. Aidha alidai kwamba kampuni hiyo pia itakuwa ikishirikiana na wasanii wakongwe
kwenye tasnia ya filamu ili kuweza kusaidia hao wasanii wachanga. “Nataka niwe na kampuni ambayo imekamilika vifaa, na
ofisi kabisa kwamba kilakitu kitakuwepo hapo” alisema
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi