Friday, July 27, 2012

Suma Lee kutoka na Maneke kwa mtindo mwingine

Nyota wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivuma katika kibao cha Aisha Aisha chini ya Park Line, Suma lee ezi hizo akiwa na Cpwaa, kisha kuja kuibuka na  Chungwa  zikaja nyingine kadha, kabla ya kumsaidia mwanadada Wema Sepetukatika kutunga filamu ya SUPER STAR....ambaye mwisho balaa likaja kwenye HAKUNAGA Kisha ikafuata UTANIKUMBUKA lakini sasa Suma Lee, anakuja na yule yule Maneke aliyetengeneza Hakunaga, kutoka AM Record na kufungua  SINGO mpya Inayokwenda kwa jina la APATE RAHA. Hebu isikilize kwa mara ya kwanza, pia unaweza kudownload kwenda nayo nyumbani kwenu


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi