Friday, July 27, 2012

Ommy Dimpoz, akana kuongelea safari ya Uingereza kushoot Baadaye

Mkali wa track ya Baadae Ommy Dimpozi, amesema ameshangazwa na stori zilizozagaa kwenye vyombo  vya habari kwamba anatarajia kufanya safari ya kwenda Uingereza kwaajili ya kufanya video ya wimbo wake wa Baadaye. Dimpoz amesema wakati akisubiri kuhakikiwa kama safari hiyo ipo au haipo, lakini kabla hajajua juu ya safari hiyo, anashangaa kusikia kwamba tayari imeshatokahabari hiyo kwenye vyombo vya habari, wakati alikuwa bado kulizungumzia suala hilo kwakuwa halijawa sawa. 

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi