| Nguli wa filamu nchini Johari, amegeukia maisha ya upande wa pili ambayo mume wake hayataki hata kidogo ya kuuza samaki barabrani. Maisha hayo si kwamba aliyapenda ila ni kutokana na ugumu wa maisha huku akiwa na watoto na familia nzito, hali inayompelekea lazimaatoke na kutafuta fedha kwa njia ya kufanya biashara ndogo ndogo. Hiyo ni filamu ya LONGO TIME, ambayo inaandaliwa na Kampuni ya The Power ya Stive Nyerere,ambayo mwigizaji huyo wa kampuni ya R.J Company, aliigiza kama mwanamke ambaye anapata mateso makubwa kutokana na mumewe kumtomjali ambaye ni Stive. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi