| Mwigizaji wa filamunchini Stive Nyerere akipata kinywaji kikali, kwaajili yakuigia katika mchezo hatari na mwanafunzi wa shule ya Sekondari. Stive ambaye aliacha familia yake ikiwa ingaangaika vibaya kutokana na ugumu wa maisha, hiyo ni miongoni mwa vipande vya filamu ya LONG TIME, ambayo inaendelea uchuaji wake wa picha. Pia Stive ameigiza kama mume wa Johari, ambaye anafanya kazi ya kutanua na kutembea na watoto wa digo wa shule wakati familia yake ikiteseka. Si ya kukosa, hebu fuatilia picha na uone kitu gani kiliendelea. Hata hivyo Stive Nyerere amesema anakuja na filamu nne, kwahiyo atakaa kambini kwa muda wa zaidi ya mwezi mzima. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi