Tuesday, July 24, 2012

Chopa ageukia biashara ya kuuza maepple

Filamu mpya ya Apple ambayo inaandaliwa na kampuni ya Bulls Entertaiment, ambayo inamilikiwa na Single Mtambalike 'Richie Rich' , imeshakamilisha uchukuaji wa  wa picha za filamu hiyo ya mwigizaji Irene Uwoya. Filamu hiyoambayo imeongozwa na wasanii kibao katika uchezaji akiwemo Chopa, ambaye pia ameigiza kama muuga ma Epple, Haji Adam, Irene Uwoya mwenyewe, Hisa Muya na Dino wakati huo ikiongozwa na  Richie rich. Katika uchukuaji wa sehemu hii, Irene alikuwa hayupo kutokana na kuugua, hadi hii leo mwigizaji huyo amesafiri na kuelekea Arusha kwa kazi zake za kawaida.

Camera Man Rashid Mrutu,


Wakiwa sokoni Mwenge


Haji Adam ndani ya filamu ya Apple

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi