J2
hii saa nne asubuhi mpaka kumi mchana ndani ya maisha club kutakuwa Na
auditions/ usahili Wa talents mbalimbali. Kama Una kupaji cha kuimba,
kucheza, kutumia ala ya muziki, sarakasi, na talent yoyote ile ambayo
unaamini inatakiwa kuonekana Na kinaweza toa burudani! Fika bila kukosa-
imeandaliwa Na Lamar- fishcrab Audio station, Karabani productions,
Dunga- Mandugu digital, p- funk majani Na John Mahundi. Wataarifu Na
wale unaoamini Wana kipaji kinachotakiwa kuonekana.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi