Monday, July 23, 2012

EBSS wawakumbuka waangaa wa Mv Skagit kwa kuchangia damu

Usaili wa Epiq Bongo Star Search unaofanyika  Club Vybes, Mbeya.Vitu muhimu vya kukumbuka ni majaji na washiriki wote walisimama kimya kwa dakika moja kuwakumbuka wahanga wa meli ya Mv. Skagit iliyozama Zanzibar. Vijana wengi wamejitokeza kwenye usaili. Shighuli ya uchangiaji damu pia unafanyika Club Vybes na washirki wameonyesha muamko mzuri kwenye shughuli hii. Usaili utafanyika leo na kesho Club Vybes, Mbeya na mwisho wa siku ya kesho tutakuwa tumewapata wawakilishi wa Mbeya.





No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi