| Mwigizaji mkonge katika uigizaji wa filamu nchini Chiki Mchoma, ameamua kuja na filamu mpya inayokwenda kwa jina la Dume Jeuri. Chiki alisema Movie hii ni kwaajili ya kurekebisha watu wenye tabia za kupenda kujiona kwamba wao ndiyo kila kitu. Amesema ni maalum kwaajili ya kutoa funzo kwa wale wanaume wanaojiita Midume Jeuri. Hata hivyo msanii huyo pia amebobea sana katika filamu zenye mtindo wa kuchekesha maarufu kama Comedy |
|
|
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi