|
Kwa sasa
msanii kutoka Nyumba ya vipaji Tanzania, Juma Mkwabi anazidi kupata umaarufu
mkubwa kutokana na ushiriki wake ndani ya tamthiria ya 69 Record inayorushwa na
Clouds Tv.
Mkwabi
anasema kwa sasa hatarajii na wala hafikirii kurudi tena kwenye muziki wa Hip
Hop, inagaw mwanzo alikuwepo huko na kama akirudi basi atakuwa akiimba kama
starehe. Aidha
alisema kwamba muziki wa Hip Hop,
aliuanza tangu mwaka 1999, lakini hakuweza kufanikiwa wala kuwa na
umaarufu kama alionao sasa.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi