| Mwanamuziki wa kundi la Extra Bongo, Hassan Nyamwela , Super Nyamwela', leo juni 17, amefunga ndoa na Bi Hawa, katika msikiti uliopo maeneo ya Kinondoni ambapo binti huyo alikuwa akiishi. Super Nyawela ameoa baada ya kufuata kwa mke wake wa mwanzo kufariki. Mwanamuziki huyo ambaye pea ni mnenguaji, katika bendi hiyo ameoa huku mwanamke huyo akiwa na mimba ya miezi saba. Super Nyamwela ni mtoto wa pili katika watoto wa tano, wakati huo wawili wakijihusha na muziki kwa upande wa uchezaji, na wawili wanawake, wakati kaka yake mkubwa alishawahi kuwao na kuwacha. Mungu akubaliki uwe na maisha marefu... |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi