Saturday, June 16, 2012

Super Nyamwela afunga ndoa kesho juni 17

Mwimbaji na mtunzi wa uchezaji ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kutokana na staili ya uchezaji Super Nyamwela, siku  Jumapili Juni 17 mchana anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi