Tamasha la kutafuta vipaji vya wanamuziki nchini la Bongo Star Seach, ambalo kwa sasa linadhaminiwa na kampuni ya Zantel kupitia EPIQ NATION na kuitwa EPIQ BONGO STAR SEARCH, limezidi kupamba moto mkoani Dodoma, katika kuwatafuta wale wakali ambao watakuja kuiwakilisha Dodoma hapa jijini Dar el salaam, wakati wa kumtafuta mshindi wa Tanzania ambaye atajivyakulia milioni 50. Tamasha hilo usajili wake na tamasha limefanyika leo asubuhi katika hoteli ya Epiq Bongo Star Search uliofanyika asubuhi ya leo kwenye
uwanja wa Royal Village Hotel. Maelezo ya picha yanapatikana kwenye
excel sheet ilioambatanishwa na meseji hii. Kitu muhimu cha kukumbuka ni
kuwa leo kuna usahili unaendelea na mwisho mwisho wa siku hii ya leo
watachaguliwa washrii ambao wataiwakilisha Dodoma pindi mashindano
yatakavyo kuwa dar.
Mawazo na michango yenu yanahitajika katika
kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi.
Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo
kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii
ukiweka majina na wadua wengine wa habari. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi