| Ujio wa Cloud 112 kwenye filamu yake mpya ya PENZI LA KIZA, sitaki kuongea mengi hebu fuatilia kujua nini kitajiri. Endelea kuwa na Bongo Unit, chaguo sahihi kwa mambo ya filamu. |
| kamata huyoo... Cloud aliona ni bora afukuzwe na panga kuliko Nyundo.... jamaa aliisabu, moja mbili tatu..harafu akairusha. |
| Hapa akisubiri gari, sijui alikuwa anaenda wapi. |
| Bibi Hindu asiyezeeka maneno kwenye filamu lakini mwili umekwenda,ni miongoni mwa mihimiri mikubwa sana ya sanaa ya filamu nchi. |
| Miguu ya dada zetu |
| Na mimi nimo, wananiitaga Mohamedi M Gomesa. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi