| Watu wajitokeza kwa wingi kuchukuwa fomu kwaajili ya kupamba katika shindano la kuinua vipajila Epiq Bongo Star Search 2012, ambalo mshindi wake atakuja jijini Dar es salaam kwaajili ya kuungana na washiriki wengine na baadaye kumtafuta mshindi mmoja atakayekuwa mshindi. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi