Saturday, June 23, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH sasa yaamini Zanzibar- Wazenji Mpo

Maandalizi ya usahili wa Epiq Bongo Star Search utakaofanyika leo Jumamosi tarehe 23 and Jumapili tarehe 24 katika eneo la  Ngome Kongwe, Zanzibar. .
Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa habari.
MRATIBU WA MSAFARA WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 202, ALEX KIMANZI AKITABASAMU

MMOJA KATI YA CREW YA BENCHMARK AKISHUGHLIKIA MATAA
Spika aitangaza EBSS ndani ya Bunge la Tanzania.

 Vicky akitoa wasaaa

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi