Friday, June 1, 2012

Sherehe ya ZUKU Tv kuingia mkataba na ZIFF

Kampuni ya ZUKU Tv wameamua kushiriki katika kukuza tasnia ya filamu nchini kwa kuingia katika kuzamini, Tamasha kubwa na la kimataifa nchini la Filamu  Zanzibar linalojulikana kama Tamasha la Majahazi au Zanzibar Film Festivel 'ZIFF'. ZUKU imetia sahihi ya mkataba wa Dola Milioni moja. Sherehe hiyo  iliudhuliwa na wasanii mbalimbali wakiwemo wa  filamu wanamitindo na muziki wa bongo Fleva.

Aunt Ezekiel na mwanamitindo  Hassanal
Willium Mtitu na mkewe
Jack Wolper

Mwanamuziki Syna akielekea stejini.


Shilole akiwa na Shilole Classic


Wasanii wa filamu, Cloud 112, William Mtitu na J.b

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi