Thursday, June 21, 2012

Ndege ya Linah kutoa Maisha Club jumapili hii


MWANAMUZIKI wa kike  ambaye anafanya vizuri kwa sasa katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Lina Sanga ‘Linah’ anatarajia kuzindua video yake mpya ya Ajubao na Linah, aliyoifanyia nchini marekani.
Aliimbia safu hii, kwamba uzinduzi huo utakuwa wa kimataifa   pia itakuwa ni mara ya kwanza tangu kufanya nchini na kufanya  tamasha jijini Dar es salaam, baada ya kuwa Marekani katika  Tour iliyomchukua miezi kadhaa.
Pialisistiza katika tamasha hilo litalofanyika siku ya jumapili Maisha Club atasindikizwa na wasanii kibao akiwemo, , atasindikizwa na Mwana Fa, Ditto, Amini, Country Boy pamoja na mwana Fa.   Aidha alisema nyimbo zote atapiga siku hiyo itakuwa ni Live band, ili kuonyesha ujuzi wake alioupata akiwa Marekani.   Katika Tamasha hilo, kiingilio ni shilingi 7000, huku amewataka kuunga mkono mashabiki zake wote.





No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi