BAADA ya kutamba kwa muda mrefu na wimbo wa Nakusemea, msanii Aslay Sadiq ‘Dogo Aslay’
anatarajia kuzindua kwa pamoja wimbo huo
ukiwa katika filamu, kitabu pamoja na albamu.
Akizungumza
na safu hii alisema uzinduzi huo utafanywa siku ya tarehe 24, mwezi huu ambapo
atasindikizwa na Ferooz Mrisho ‘Ferooz’, Mwijuma Hamisi ‘Mwana Fa’ Ize man, Tmk
Wanaume ,Mkubwa na Wanawe pamoja na bibi Cheka.
Aidha alidai
kwamba kufanya hivyo ni kutaka kuweka histori katika tasnia ya muzuki, akiwa
katika umri mdogo.
“Itakuwa ni
filamu na kitabu ambacho si cha kukosa kwakuwa nitaeleza kile ambacho watu
wanafanya wakiwa kwenye familia zao na kupelekea matatizo makubwa ya kifamilia” alisema.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi