![]() |
| Wasanii wa kundi la Mkubwa na wanawe, wazidi kujifua kwenye mazoezi kwaajili ya kupanda jukwaani mkoani Mwanza... Hebu angalia kwanza, harafu pata picha siku hiyo |
| Dogo Muu akionyesha kazi, siku ambapo atakuwa jukwaani |
| Mkubwa Fellla, akiwaonyesha jinsi ya kufanya ili kuwa wasanii bora, pembeni akiwa na Meneja wa kundi hilo Yusufu Chambuso |
| Dogo Aslay hapa akijiachia, kuonyesha staili mpya ya uchezaji wa kwaito |

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi