Wednesday, June 27, 2012

Mrembo wa Facebook , watu waopoa mashoga

Ni Bonge la filamu jipya ambalo Senga, alikuwa akitafuta mwanamke kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook, na kujikuta akichat na Binti na kuaminibonge la demu. Akajipanga kwenda kukutana naye, si unajua kipya kinyemi kufika katika eneo la Tukio... Kumbe si mwanamke aliyekuwa akichat naye ni Jike dume, kwa lugha nyepesi wanasema ni SHOGA, ambaye ni Danny.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi