.
Wednesday, June 27, 2012
Linah afunika Maisha Club
Mwanamuziki Linah Sanga, juzi alifanya bonge la Show, la kurudi nyumbani baada ya Tour ndefu ya Marekani. Katika Show hiyo alifunika vibaya baada ya kupiga mziki wa bendi ambao vijana wa sasa wanasema Live.
Watu kibaoooo
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi