Wednesday, June 27, 2012

Dkt Ulimboka apigwa na kuharibiwa uso

Yule mwanaharakati wa Madaktari,  Dkt. Ulimboka akiwa ktk hali mbaya mara baada yakuokotwa akiwa hajitambui , baada ya kupigwa vibaya sana. Inasadikiwa kwamba Dkt Ulimboka alitekwa jana usiku mishale ya saa6 usiku baadaya kupigiwa simu na mtu alisiyetambulika. Inasemekana Dkt Ulimboka alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kutokana na hari hii huenda  wafanyakazi wa chumba cha maiti muhimbili nao kuingia kwenye mgomo usiokuwa na mwisho. Mungu ibariki Tanzania, Mungu wabariki watanzania wawe na moyo wa imani Amin.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi