| Kampuni
ya TBL kupitia kinywaji chake cha Grand Malt, wanatarajia
kuzindua bonge la Tamasha la wazi litakalojulikana kama Grand Malt Tanzania
Open Film Festival, ambalo litafanyika mkoani Tanga katika viwanja
vya Tangamano kuanzia saa 10; jioni na kuendelea juni 30 hadi julai 6 mwaka huu
. Tamasha hilo litakutanisha wasanii wakali kutoka Bongo Movie, pamoja
na wanamuziki wa Baikoko, Taarabu na wanamuziki wengine. Tamasha hilo
litafanyika kwa muda wa siku saba mfurulizo, huku likiandaliwa na kampuni ya
kutengeneza, na kuandaa matangazo ya radio, terevisheni, muziki filamu, pamoja
na Mabango, Sofia Production. tamasha la Grand Malta
Tanzania Open Film Festival linatarajia kuwafanya Watanzania,
kutambua umuhimu wa kazi zao za filamu na kurudisha uzalendo. Kiingilio ni
BULEEEE.. Karibu. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi