|
Baada ya kuachia filamu ya TOBA ambayo
ilititikisa katika uzinduzi wake katika visiwa vya Zanzibar na kufanya vizuri
katika mauzo yake, sasa kampuni ya CY & CL Company inakuja na filamu
machachari ya TRIPLE L. Ni filamu ambayo inazungumzia mapenzi kwa njia tofauti
sana. Ndani ya filamu ya TRIPLE L utakutana na wakongwe kama Patcho Mwamba,
Cloud 112, Warda Walid na wakali wengine ambao waliamua kuonyesha hisia zao, .
Hakika ni miongoni mwa filamu ambayo imefanywa kwa utulivu sana, itakuja
kufunika katika mwezi huu, na siku zijazo.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi