Monday, June 18, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH wachangia damu

Leo washiriki watano watakao iwakilisha Dodoma pindi mashindano yatakapofika Dar wamechaguliwa. Leo jioni kutakuwa na WAKAWAKA party (Epiq Bongo Star Search after party) Royal Village Hotel – Dodoma kuanzia saa 1 jioni wasanii watakao kuwepo ni Mwasiti, Ditto na Linex.
Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa habari.


Wasanii wa EPIQ BONGO STAR SEARCH wachangia damu salama









Hebu waangalie jinsi wanavyoongelea na wanavyotoa damu katika kuchangia, ilikusaidia wakinamama wajawazito, wanaopata ajali, na watu wenyematatizo mbalimbali. Kumbuka damu haitengenezi, ila inatokanana na mwanaadam. CHANGIA NAWE PIA....
Zantel’s Awaichi Mawalla Donates Blood (Awaichi Mawalla wa Zantel akichangia damu)





No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi