|
Mwigizaji na Mshereshaji ‘Mc’ Issa Mussa ‘Cloud 112’ juzi alimtangaza wazi mwigizaji mwenzake Hussein Awadhi ‘Dr
Cheni’ kwamba ndiye mtu pekee aliyemshawishi na kumfundisha kazi ya ushereshaji .
Aliongea hayo wiki hii katika harusi ya Bwana Rodrick
Mkapala na Bi Rehema Mwafulana ambayo
ilifanyika katika ukumbi wa polisi Msasani, ambapo yeye alikuwa kama
Mshereshaji katika sherehe hiyo.
Wakatiakisherehesha ndipo alipomuona rafiki yake huyo,
ambapo alimwita mbele na kutangza kwamba yeye ndiye aliyemfundisha kazi hiyo.
“Aliniambia naweza na kuanza kunichukua katika sherehe zake,
nikawa pembeni naangalia jinsi anavyofanya hadi baadaye na mimi nilipokuwa
mtaalam kama yeye” alisema.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi