|
Mwigizaji wa
filamu na mwanamuziki wa muziki wa dansi, Husna Poshi ‘Dotnata’ amesema kundi
lake la Homa Jiji sanaa Group limeshaanza kukomaa kwaajili ya tamthiria
itakayoanza mwezi ujao.
Aliimbia
safu hii kwamba tamthiria hiyo, anatarajia itatoka mwezi ujao ingawa bado
hajajua atatoa kwenye stesheni ya Tv au
atatumia utoaji wa Cd kama Season.
Pia lisema
kwamba hatokuwa na kinyongo kwa msanii yoyote kutoka katika kundi hilo, endapo
atacheza filamu nyingine yoyote kwakuwa lengo lake ni kuinua vipaji vipya. “Sina
Kinyongo kwa yeyote atakaye fanikiwa kwenye kundi langu na kuamua kufanya kazi
nje, nitakuwa huru sana” alisema.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi