|
Mwanamuziki leo ameondoka kuelekea Kenya katika tamasha, a
East Afrika Mseto Campus Tour nchini Kenya baaday a kulidhishwa na uzinduzi
wa albamu yake ya kwanza ‘Naenda Kusema’
Aslay
alipewa mwaliko huona stesheni za radio ya Citizen na Mounta Kenya University za jijini
Nairobi huku akisindikizwa na kundi zima la Tmk Wanaume Famili chini ya mkubwa Fella.
Alisema tamasha
hilo alilifanyika jana saa nane mchana
katika ukumbi wa Thika, ndani ya M.K.U jijini hapo, huku akisindikizwa na Aman
Temba ‘Mh Temba’.
Hata hivyo wasanii hao wamesema wanatarajia kurudi mapema,ili kuungana na wasanii wengine katika tamasha litakalo fanyika Mwanza julai 7 mwaka huu
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi