Friday, June 29, 2012

Prof Jay kutumbuiza Miss Mara

Mwanamuziki Prof Jay leo amesafiri kwenda mkoani Musoma katika kuhakikisha anatoa burudani katika mashindano ya Umiss yatakayofanyika kumtafuta Miss Mara . Akiwa uwanjani wa ndege wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliweza kukutana na wasanii wa Tmk ambao walikuwa nao wapo safari kwenda Kenya.

Prof Jay akiwa na Saidi Fella, Dogo Aslay na Omary 'Bichwa'

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi