Ninaposema kuigiza kazi watu wanajua
masihara, hebu mwangalieni mwanamuziki
na mwigizaji wa kimarekani 50 Cent jinsi
anavyozidi kupunguza uzito wake kiasi cha kufikia hatua kuwa mifupa mitupu. 50
Cent yupo katika kutengeneza filamu ya Thing Fall A part, inayomuhusu
mwanafunzi na mwanasoka ambaye baadaye alikuja kugundulika na ugonjwa wa Kansa.
Je sisi tunawezakuacha kazi na kufanya kazi, japo tupunguze vitambi au mashavu
kwaajili ya filamu moja?
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi