Wednesday, June 20, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH ndani ya club 84


Tafadhali pitia picha zilizoambatanishwa na meseji  hii zilizopatikana katika WakaWaka party iliyofanyika baada ya usahili wa Epiq Bongo Star Search uliofanyika jioni ya leo katika ukumbi wa Royal Village Hotel. Picha hizi zina maelezo na chini ya barua hii. Cha kuzingatia ni kuwa usahili wa Dodoma uliisha rasmi jana saa kumi jioni na wikendi hii tutaenda kufanya usahili Ngome Kongwe, Zanzibar.
Mawazo na michango yenu yanahitajika katika kuendeleza uhusiano mzuri na katika kupata taarifa/picha bora zaidi. Kama utapenda tuongeze anuani ya barua pepe ili kupata taarifa zitakazo kuwa zinatumwa, tafadhali ongeza anuani hiyo na ujibu barua pepe hii ukiweka majina na wadua wengine wa habari.
LINEX ON THE STAGE AT THE WAKAWAKA PARTY
DITTO, MWASITI NA LINEX WAKIWA CLUB 84
MSANII AENDAYE KWA JINA LA MWASITI AKITUPA BURUDANI KWENYE JUKWAA LA WAKAWAKA PARTY
MSANII AENDAYE KWA JINA LA DITTO AKITUPA BURUDANI WAKATI WA WAKAWAKA PARTY
MSANII AENDAYE KWA JINA LA WAZIRI AKITUPA BURUDANI KWENYE WAKAWAKA PARTY

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi