| Vijana ambao kwa pamoja wameamua kujiunga na kutengeneza filamu yao, kwaajili ya kujitafutia ajila wamesema hivi sasa wapo kwenye mikakati ya kutafuta mfadhili wa filamu hiyo kwakuwa muda mrefu wamekuwa wakijiendesha bila ya kupata Support kutoka kwa mtu yoyote. Unaweza kuwasiliana nao kwa namba ambayo ipo kwenye cover la filamu yao ya Maajabu ya Vijana, ambayo wanaisambaza wenyewe, kutoka maskani kwao Mombasa Gongo la Mboto. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi