Sunday, May 27, 2012

Sajenti asherekea Birthday kwa ukiwa

Mwigizaji wa filamu pia alikuwa Kimwana Manywele wa Twanga Pepeta Sajenti, juzi 25 May amejikuta akiwa mpweke baada ya kusherekea siku ya kuzaliwa kwake bila ya kuwepo kwa wasanii wa Bongo Movie na wa bendi ambao aliwatarajia kwa kuwapigia simu kwa muda mrefu, ambao aliamini wangekuja kumuunga mkono katika shehe hiyo. Hata hivyo majilani zake walikuja kwa wingi, na huku dada yake mpendwa akimpa mchango wa Dola mia moja katika koponi aliyoitwa.
Dada yake Sajenti

Sauda Mwilima wa Star Tv
Mr Kupa alikuja kwaajili ya kuwakilisha wasanii wenzake, ambao walikuwa wakipigiwa simu lakini wakionyesha walikuwa bize sana.
Keki ya Birthday
Sajeenti akimlisha mwanaye keki.
Wanasema siku hizi vijana ndiyo wanamili fedha, huyualimwaga mafedha katika kutajwa kwenye koponi ya majina
huyu alikuwa akichat mwanzo mwisho. (BONGO UNIT INAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA.......amini)

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi